Hii ina mana gani kwa mwanaume?

Hii ina mana gani kwa mwanaume?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Leo nilikuwa naongea na mpenzi wangu, tulivyo kuwa tunaongea nikamuuliza swali hili;

"Ni mwanaume wa aina gani ambaye anavutiwa naye?"

Cha ajabu vigezo alivyotoa sina hata kimoja. Hivi wakubwa hii ina maana gani?

Si yatakuja kunikuta kama yanavyowakuta wanaume wenzangu wa siku hizi, mke ni wako lakini pia ni shemeji yako!
 
Kama nakuona ulivyokua unatoa mimacho wakati anatoa vigezo ambavyo hauna....😁
Sasa we upo nae unauliza swali la kiboya hivo ili iweje, ulichokitaka umekipata.
 
Leo nilikuwa naongeya na mpenzi wangu
Tulivyo kuwa tunaongea nikamuhuliza wali hili

Ni mwanaume wa aina gani ambaye anavutiwa naye

Cha ajabu vigezo alivyo towa sina hata kimoja

Hivi wa kubwa hii ina maana gani
Si yatakuja kunikuta kama yanavyo wakuta wanaume wenzangu wa siku hivi mke ni wako lakini pia ni shemeji yako
Ukome hiyo tabia
 
Mimi yule slay queen wangu aliniambiaga "na huo weupe wako na nywele zako za shombe shombe Mungu angekupa urefu kama wa Hasheem Thabeet ungevutia zaidi"[emoji28] Nilikujaga kumpiga chini na hakujuaga shida ni nini.
 
Wewe jiandae tu kuto.... km walivyoto... wengine mbon ishakua kawaida kikubwa asibebeshwe mimba isiyokua ya kwako

Nimekaaa paaale
 
Umumuuliza hilo swali Kwanini? Au nawewe umejishtukia kwamba hutoshi kwake ndio maana ukauliza hivyo.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Unaanzaje kumchunguza mwanamke juu ya mwanaume anae mpenda. Na vigezo anavyokupa ni vya mtu anaemkojoza vizuri

Wewe mkojoze vizuri uone kama hajaongeza vigezo vyako.
 
Leo nilikuwa naongeya na mpenzi wangu
Tulivyo kuwa tunaongea nikamuhuliza wali hili

Ni mwanaume wa aina gani ambaye anavutiwa naye

Cha ajabu vigezo alivyo towa sina hata kimoja

Hivi wa kubwa hii ina maana gani
Si yatakuja kunikuta kama yanavyo wakuta wanaume wenzangu wa siku hivi mke ni wako lakini pia ni shemeji yako
mkuu huyo alikuonea huruma ila na ww endelea kutafta mke uku sio mbaya ukisogeza siku na huyo huyo BURUDANI KWA WOTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom