Ni muda mrefu Sasa, kila niki-search kitu kupitia Google, location ya mahali nilipo ambayo huwa inatolewa na Google wenyewe mwishoni mwa page imekuwa Ni ya kubadilika. Utakuta inaonyesha location Niko Morogoro wakati huo nikiwa Mwanza.
Nilifikiri huenda Ni kwa vile nilishakaa katika maeneo yanayoletwa kama location ya mahali nilipo, lakini recent location ndiyo imenishitua zaidi.
Ajabu Ni kwamba, tokea nizaliwe, sijawahi kukanyaga Tabora mjini hata siku moja.
Je, hawa Google Wana kichaa kunibambikizia location ya wakati ninatafuta taarifa mbalimbali?
Jaribu kufungua drive inaweza ikaenda mahari ulipo. Au kwenye setting hakikisha iko hai. Mbona mi natumia vi tecno tu na viko vizuri hats mtandao ukiwa haupo kwa Siku NNE. Na huwa natumia drive kuendesha mtumbwi kwenye ukungu na hats usiku
Nakwambia mkuu unalazimishwa kusafirishwa kila Mkoa na mwaka huu utakoma😁 kesho ukiamka location itasoma chato mchana ikifika hiyo inasoma Chamwino kwa mzeebaba 🤣😂🤦🤪🏃