Hii ina maana gani jamani?

Hii ina maana gani jamani?

Mashono

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
101
Reaction score
23
Yaani kuna demu mmoja kiikweli nilikuwa nampenda sana tena sana na yeye alijua kuwa nampenda ila mwanzo wamwaka huu baada ya kumtambulisha kwa baadhi ya nduugu zangu na kupita kama wiki mbili hivi akiniibox na kuniambia eti kafungishwa ndoa na jamaa ake wa zamani ambaye hakuniambia hapo awali. Cha ajabu na kushangaza sasa aniinbox na kunikashifu mara anisalimie vizuri mara atukane ila mi nimekaa tu kimya wala sina bifu na nimekubaliana na matokeo. Ila sasa kwa nini bado anaendelea kunisumbua na akiona nipo kimya anamuulizza rafiki yangu habari zangu anataka nini nisaidieni jamani.
 
Ebu tuambie kwanza una umri gani?
 
endelea kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mjinga!
 
kwani viboko vya fito za kujengea si zipo hapo maeneo ya kwenu? sa unataka tukushauri nini fanya hilo kwanza afu uje
 
Umri tu si tatizo. 27 yrs

sasa mbona unaleta mada ambazo hata mtoto wa miaka mitano anaweza kuzitatua?ndo maana hata huyo hawara wako nae anakudharau kwa kukutukana,inaonekana we ni bogus flani hvi.
 
Kukaa kimya ni nzuri zaidi ugomvi hauna tija na si kila wakati tunapoulizwa kwa ugomvi lazima tuwajibu wanaotuchokoza . Tena ukaapo kimya utamuumiza sana lkn uhakikishe husemi kitu chochote juu ya huyo mdada either zuri au baya. Hata message zake usizijibu.
 
Kukaa kimya ni nzuri zaidi ugomvi hauna tija na si kila wakati tunapoulizwa kwa ugomvi lazima tuwajibu wanaotuchokoza . Tena ukaapo kimya utamuumiza sana lkn uhakikishe husemi kitu chochote juu ya huyo mdada either zuri au baya. Hata message zake usizijibu.

Thanks kwa ushauri wako mzuri
 
yaani huyo anataman kujirudi lakin hana jinc ndo maana anakutukana na kukuchokoza elimradi tuu mawasiliano yarudi achana nae huyo endelea kukuaa kimya atachoka
 
Back
Top Bottom