huyo ni kafulila?
Nan ?? Kapi meeeen....b au?Karudi kundini?
chadema siku hizi Ina wadada wazuri
Kwel uzur wa mtu upo machoni kwa mtu.Mi sioni mzur hapo.Wote wanasura kama za baba zao
kama ni hviyo baba dhao wazuri aiseeKwel uzur wa mtu upo machoni kwa mtu.Mi sioni mzur hapo.Wote wanasura kama za baba zao
Ila hizi Tshirt za chadema safi sana. CCm wanataka kuzziga lakini rangi zao wala hazitapendeza namna hii!
Kwel uzur wa mtu upo machoni kwa mtu.Mi sioni mzur hapo.Wote wanasura kama za baba zao