BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
- Thread starter
-
- #21
Mpe pole ila sio vizuri huyo binti alivyomfanyia, jamaa hajamshitaki?
Heeeeeee huyo dada hakumpenda kweli lakin maamuz yakummwagia mwenzie maji ni hatari.
Hata yeye anaweza penda mtu pia,je akifanyiwa hayo ataridhika?
kuna njia nyingi sana za kusema "no" lakini hii aliyoitumia dada haikuwa sahihi kabisa.mi nadhani ingekuwa busara zaidi kama angemshirikisha boyfriend wake kuhusu hili,wangelimaliza kiutu uzima kuliko alichokifanya
kuna watu wana roho mbaya sana, dah hata kama kutongozwa ila sio hivyo.
hata boyfriend wake sasa kampiga chini ila jamaa kweli alimpenda kweli mpaka kushindwa kuzuia hisia zake.
wanawake wanaroho mbaya wakiamua.
huyu dada mpaka kwao yamefika na anachukiwa kweli na wanaume na rafiki zake wanamtenga.
Nakumbuka tulikuwa first year enzi hizo udom, college of education hili tukio lilitokea block L, tukio lingine la mkasa wa mapenzi lililotokea mwaka huo ni jamaa mmoja alipokuta demu wake anameza arv, jamaa alitaka kujiua ila hakufa ikabidi afukuzwe chuo alipofika kwao morogoro akajinyonga, sitasahau mikasa ya namna hii pale bloc K, L, n na A ndani ya ngoks, nakumbuka one day nimeenda block K, mvua ikaanza kunyesha na haikukatika ikabidi nilale kwenye room la wadada kwa mwenyeji wangu kitanda cha juu ilipofika saba uck nikala mzigo kimya kimya bila room mates kujua
Kuna jamaa mmoja ni mwanachuo alitokea kumpenda dada mmoja ambaye ni mwanachuo mara ya kwanza wamekutana kwenye discussion, jamaa akamwomba namba yule duu akampa alipohipata tu,jamaa akaanza kumtokea, yule duu akamjibu ana mtu wake lakini jamaa akulizika akaendelea kumfatilia ikafika wakati yule duu kubadilisha laini, jamaa alipoona hapatikani akaanza kupeleleza mpaka akajua room anapoishi akawa anaenda mara kwa mara kumtokea lakini wapi demu hataki ikafika muda yule duu akamwambia sikupendi lakini jamaa amekaza uzi tu,kuna siku jamaa alienda room kwake akamkuta demu yuko na kanga moja ametoka kuoga kama kawaida yule ,mwanamke alipomuona akakasilika na kumwambia atoke avae lakini jamaa hataki , akamwambia kwa upole atoke aje kesho ndo atakuwa na muda wataongea jamaa akakubali akatoka kesho yake akaja tena akamkuta anachemsha maji kwa ajili ya kunywea chai , akamwambia aingie anamchemshia chai yake jamaa akawa anafurahia sana akijua leo hatimaye kaingia laini ,yule akamwangalia na kutabasamu na kumwambia leo nakupikia chai na mkate na mayai jamaa akawa anafurahia mara yule duu akazima jagi la maji ya moto na kuchomoa waya wa jagi na kumwajia usoni maji ya moto, jamaa alipiga kelele na kutoka nje , yule jamaa akaaungua uso wake ukimuona amealibika sana usoni mpaka leo anakovu usoni.
Nakumbuka tulikuwa first year enzi hizo udom, college of education hili tukio lilitokea block L, tukio lingine la mkasa wa mapenzi lililotokea mwaka huo ni jamaa mmoja alipokuta demu wake anameza arv, jamaa alitaka kujiua ila hakufa ikabidi afukuzwe chuo alipofika kwao morogoro akajinyonga, sitasahau mikasa ya namna hii pale bloc K, L, n na A ndani ya ngoks, nakumbuka one day nimeenda block K, mvua ikaanza kunyesha na haikukatika ikabidi nilale kwenye room la wadada kwa mwenyeji wangu kitanda cha juu ilipofika saba uck nikala mzigo kimya kimya bila room mates kujua
Mpe pole ila sio vizuri huyo binti alivyomfanyia, jamaa hajamshitaki?
Dah mjomba kumbe ulikuwa ngoks mimi nilikuwa social science hiyo issue nakumbuka ilivuma mnoNakumbuka tulikuwa first year enzi hizo udom, college of education hili tukio lilitokea block L, tukio lingine la mkasa wa mapenzi lililotokea mwaka huo ni jamaa mmoja alipokuta demu wake anameza arv, jamaa alitaka kujiua ila hakufa ikabidi afukuzwe chuo alipofika kwao morogoro akajinyonga, sitasahau mikasa ya namna hii pale bloc K, L, n na A ndani ya ngoks, nakumbuka one day nimeenda block K, mvua ikaanza kunyesha na haikukatika ikabidi nilale kwenye room la wadada kwa mwenyeji wangu kitanda cha juu ilipofika saba uck nikala mzigo kimya kimya bila room mates kujua