Hii imetokea chuoni

BABU KIZEE

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Posts
452
Reaction score
72
Kuna jamaa mmoja ni mwanachuo alitokea kumpenda dada mmoja ambaye ni mwanachuo mara ya kwanza wamekutana kwenye discussion, jamaa akamwomba namba yule duu akampa alipohipata tu,jamaa akaanza kumtokea, yule duu akamjibu ana mtu wake lakini jamaa akulizika akaendelea kumfatilia ikafika wakati yule duu kubadilisha laini, jamaa alipoona hapatikani akaanza kupeleleza mpaka akajua room anapoishi akawa anaenda mara kwa mara kumtokea lakini wapi demu hataki ikafika muda yule duu akamwambia sikupendi lakini jamaa amekaza uzi tu,kuna siku jamaa alienda room kwake akamkuta demu yuko na kanga moja ametoka kuoga kama kawaida yule ,mwanamke alipomuona akakasilika na kumwambia atoke avae lakini jamaa hataki , akamwambia kwa upole atoke aje kesho ndo atakuwa na muda wataongea jamaa akakubali akatoka kesho yake akaja tena akamkuta anachemsha maji kwa ajili ya kunywea chai , akamwambia aingie anamchemshia chai yake jamaa akawa anafurahia sana akijua leo hatimaye kaingia laini ,yule akamwangalia na kutabasamu na kumwambia leo nakupikia chai na mkate na mayai jamaa akawa anafurahia mara yule duu akazima jagi la maji ya moto na kuchomoa waya wa jagi na kumwajia usoni maji ya moto, jamaa alipiga kelele na kutoka nje , yule jamaa akaaungua uso wake ukimuona amealibika sana usoni mpaka leo anakovu usoni.
 
duhhh hii mbaya jamani...kisa cha kumuweka makovu ya maisha mtoto wa mwanamke mwenzie..inasikitisha kwa kweli...Naye alikuwa kinganganizi sana lkn huyo dem alivyofanya sio fresh yaani...
 
anatafuta balaaaah huyo demu, kutongozwa kitu gani
 
mmezidi kuganda watu kama luba,:clap2:
 
Usipokubali hali iliyopo ujue utakutana namabaya zaidi. Enzi zangu za kutongoza dem akinambia haiwezekani, nilikuwa najifanya kama vile nilikuwa natania
 
No means No.
Madogo mtajifunza lini? Acheni kung'ang'ania kiivyo.
 
Kama humpendi mtu si umwambie tu, na hata kama akijitia king'ang'anizi mwambie hata mbele ya rafiki zake, huna sababu ya kumuumiza! Mara nyingi wanawake wa namna hii huishia kujuta na kumkumbuka aliyemkataa na nafasi ya kurudi huwa hakuna.
 
Reactions: awp
Nakumbuka tulikuwa first year enzi hizo udom, college of education hili tukio lilitokea block L, tukio lingine la mkasa wa mapenzi lililotokea mwaka huo ni jamaa mmoja alipokuta demu wake anameza arv, jamaa alitaka kujiua ila hakufa ikabidi afukuzwe chuo alipofika kwao morogoro akajinyonga, sitasahau mikasa ya namna hii pale bloc K, L, n na A ndani ya ngoks, nakumbuka one day nimeenda block K, mvua ikaanza kunyesha na haikukatika ikabidi nilale kwenye room la wadada kwa mwenyeji wangu kitanda cha juu ilipofika saba uck nikala mzigo kimya kimya bila room mates kujua
 

Ha ha ha mkuu mzigo ulioula kwa emergency ulikuwa nyama kwa nyama maana hukutegemea..

Je nawe ulimuona huyo dada uliyemla mzigo alivyokuwa anakunywa ARV asubuh au ulikuwa hoi kwa uchovu?
 
Heeeeeee huyo dada hakumpenda kweli lakin maamuz yakummwagia mwenzie maji ni hatari.
Hata yeye anaweza penda mtu pia,je akifanyiwa hayo ataridhika?
 


kuna njia nyingi sana za kusema "no" lakini hii aliyoitumia dada haikuwa sahihi kabisa.mi nadhani ingekuwa busara zaidi kama angemshirikisha boyfriend wake kuhusu hili,wangelimaliza kiutu uzima kuliko alichokifanya
 
kuna watu wana roho mbaya sana, dah hata kama kutongozwa ila sio hivyo.
 
Ha ha ha mkuu mzigo ulioula kwa emergency ulikuwa nyama kwa nyama maana hukutegemea..

Je nawe ulimuona huyo dada uliyemla mzigo alivyokuwa anakunywa ARV asubuh au ulikuwa hoi kwa uchovu?
mzigo wa emergence unatakiwa kupigwa kavu, ARV ukinywa unatakiwa uwe umekula so kama angekuwa anakunywa angengoja anywe chai kwanza so nilikuwa nimesepa,
 
yaani kunawatu wanamambo ya kutisha, kumwagia mtu maji eti kula mzigo kimya kimya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…