Hii imeniuma balaa! Wanawake Mungu anawaona...


fahamu kuwa kuna mob psychology inawezekna anasea hivyo kwa kufurahisha genge au unafiki kwa wenzake na akawa tofauti kabisaa ktk tabia na matendo yake kwa mumewe....siyo kila linalosemwa linatendwa......
 
Wanawake ni pasua kichwa
 
Aliesema tafteni hela mlimuona mchawi sio?

Mapenzi yapo hata uzeeni hamuoni yule waziri mstaafu ameo binti wa miaka 18?
 
Nahisi mwerevu aliamua kwenda na biti za mpumbavu ili waende sawa.

Kuna nyakati unaangalia akili za unayeongea nae then unaenda nae sawa ili kuokoa muda wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…