Hii imekaaje ?

Hii imekaaje ?

PetCash

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,996
Reaction score
2,017
Dah! Nilikuwa kwenye jam nawaza. Mara ghafla nikakumbuka kitu ambacho sijawahi kukitilia maanani.

Yani wasichana wote niliowahi kukutana nao (Except wife tu) eti mimi nilikuwa wa pili kwao. Yaani after yule aliyewaingiza ukubwani.

Seriously? Yaani inawezekana hiyo coincidence? yani wote i was the second?

Dah hapo nilikuwa napigwa changa la macho tu halafu mbaya hata sikuwauliza walijisemea tu.
Eti "baby you're my second"

Uambiwe wa 20 utoke nduki!!!
kupunguza hiyo sifuri ndo mpango....
 
Teh teh your the second lol kidume unajipa bichwa kumbe wa 30
 
Uambiwe wa 20 utoke nduki!!!
kupunguza hiyo sifuri ndo mpango....

Mi mwenyewe unakuta hakuwa wa pili wala wa tatu, sasa what's the fuss? Mwingine hata ukimwangalia hafananii we kuwa wa pili kwake ila kakomaa serious macho makavu, 'eti my second!'
 
Unadanganywa wa pili wakati mimba tu keshatoa zaidi ya tano za wanaume tofauti
 
Njia zingine zinakuwa zimepitikakwa mda mfupi sana lakini wapitji hawana idadi
 
Teh teh your the second lol kidume unajipa bichwa kumbe wa 30

hahahaaa! Kuna mmoja mm aliniambia ww ni wapili tangu nianze wakat baadae nikaja kugundua kumbe alishazalishwa.
 
Mkuu yaani hawa wanawake utafikiri wamefundishwa na mwalimu mmoja kuwa kila mwanaume ukiwa nae akikuuliza mie ni wangapi kwako ujibu wa 2.... Mwenzio nishaachaga kuuliza hilo swali kitambo maana ninaonaga tu kama halinisaidii sana sana nitaishia kumuongezea dhambi mwenzangu nyingine za kudanganya
 
Ndo maana mi huwa nasema, mwalimu wa hawa watu ni mmoja na bahati mbaya hayuko nao tena.
 
Mkuu yaani hawa wanawake utafikiri wamefundishwa na mwalimu mmoja kuwa kila mwanaume ukiwa nae akikuuliza mie ni wangapi kwako ujibu wa 2.... Mwenzio nishaachaga kuuliza hilo swali kitambo maana ninaonaga tu kama halinisaidii sana sana nitaishia kumuongezea dhambi mwenzangu nyingine za kudanganya
dah! wewe n muerevu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom