Hii imekaaje!!

Hii imekaaje!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Habari za siku Wana-MMU,..

Nimeadimika kidogo kwenye hili Jukwaa la mambo ya kiutu uzima kutokana na majukumu mazito niliyokuwa nayo katika majukwaa mengine,.

Back to the topic,.

Mimi ni mtu wa kujichanganya sana na watu mbalimbali pasipo kujali jinsia wala status ya mtu, kikubwa kuheshimiana tu!!

Nilikuwa na majadiliano na mabinti katika kusanyiko fulani la kimahusiano,.

Kiukweli nimepata kufahamu mambo mengi kuhusu mahusiano na namna akina dada walivyokuwa na ujasiri katika kutoa michango yao pasipokuwa na aibu au kuogopa chochote,.

Katika lile kusanyiko kuna Jamaa fulani alikuwa amevalia vesti huku kifua chake kikionekana wazi,.

Kilichonishangaza

Baadhi ya wale mabinti niliokuwa nimekaa nao karibu nilimsikia mmoja wao akimwambia mwenzake '' Jamani nimependa Garden Love ya yule mkaka''

Kiukweli nilishtuka sana kusikia maneno ya yule binti,.

Muda si mrefu lile tukio likafikia tamati huku nikijiuliza mwenyewe maswali mengi ambayo sijayapatia majibu mpaka sasa,.

Wanaume tuna kazi kubwa sana kugundua ni mambo au vitu gani vinavyowavutia mabinti katika suala zima la mapenzi,.

Kwa hali niliyomuacha nayo yule binti bila shaka alimtamani yule Jamaa!!

Kama alikuwa na mtu wake sijui itakuaje sasa,.

Kweli mapenzi ni upofu!!
 
sio upofu mkuu sema kivutio cha mapenzi ndo hivyo hutofautiana,yule kapenda macho,yule kifua yule pua na huyo uliyemwona kivutio chake cha mapenzi ndo hiyo garden love so wala hata usishange sema sasa sijui ndo kama ana mpenzi na hana garden sijui itakuwaje aiseee??????????mi simo :behindsofa: :behindsofa:...............
 
Mkuu, wadada wanapenda hiyo kitu sana na pia wanapenda wanaume wenye miili ya kaiwaida (siyo ile miili ya kubeba chuma weeeee).
 
Urais-Tanzania-2015.jpg.jpg
 
hivi we sijui obama wa bongo.kuwa unaweka hiyo post kwenye kila thread unamaanisha nini

anzisha thread special kwa ajili ya hizo picha zako
 
Last edited by a moderator:
...hahahahaha kuny*a any*e kuku, akiny*a bata kahara......wadada tukiwa wazi kueleza kinachotuvutia kwa wakaka ooh hii imekaaje...mbona nyie mara ooh mabinti wa kiethiopia wazuri, ooh ona mtoto huyu makalio makali, ooh napagawa na hiki na kile kwa mdada...mi sijaona cha ajabu hapo...ni kipenda roho tu hicho mdada wa watu kajisemea na labda hata asijitongozeshe kwa huyo kaka wa gaden lav....ni mtazamo tu...lol....mnalo hilo!
 
Amependa garden luv la jamaa, hajampenda jamaa, sion tatizo
 
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya mapenzi na matamanio....
 
Habari za siku Wana-MMU,..

Nimeadimika kidogo kwenye hili Jukwaa la mambo ya kiutu uzima kutokana na majukumu mazito niliyokuwa nayo katika majukwaa mengine,.

Back to the topic,.

Mimi ni mtu wa kujichanganya sana na watu mbalimbali pasipo kujali jinsia wala status ya mtu, kikubwa kuheshimiana tu!!

Nilikuwa na majadiliano na mabinti katika kusanyiko fulani la kimahusiano,.

Kiukweli nimepata kufahamu mambo mengi kuhusu mahusiano na namna akina dada walivyokuwa na ujasiri katika kutoa michango yao pasipokuwa na aibu au kuogopa chochote,.

Katika lile kusanyiko kuna Jamaa fulani alikuwa amevalia vesti huku kifua chake kikionekana wazi,.

Kilichonishangaza

Baadhi ya wale mabinti niliokuwa nimekaa nao karibu nilimsikia mmoja wao akimwambia mwenzake '' Jamani nimependa Garden Love ya yule mkaka''

Kiukweli nilishtuka sana kusikia maneno ya yule binti,.

Muda si mrefu lile tukio likafikia tamati huku nikijiuliza mwenyewe maswali mengi ambayo sijayapatia majibu mpaka sasa,.

Wanaume tuna kazi kubwa sana kugundua ni mambo au vitu gani vinavyowavutia mabinti katika suala zima la mapenzi,.

Kwa hali niliyomuacha nayo yule binti bila shaka alimtamani yule Jamaa!!

Kama alikuwa na mtu wake sijui itakuaje sasa,.

Kweli mapenzi ni upofu!!

hii slogani ya mapenzi upofu alieitunga ni mwanamke tena wakiafrika..
 
Mkuu wajua kuwa wakati mwingine hata kama mtu una wako ila ukatoa credit kwa kitu ulichopenda kwa mtu mwingine haimaanishi kuwa umeiba route.
Mathalani kapita mrembo akiwa aidha kapendeza sana au ana kitu fulani extra ambacho najua mtu wangu hana, sio mbaya kujieleza hisia zako.
Maana hata kama utakaa kimya ila still ile kitu itakuwepo tu moyoni...
Ni mawazo yangu tu.
 
Mkuu, wadada wanapenda hiyo kitu sana na pia wanapenda wanaume wenye miili ya kaiwaida (siyo ile miili ya kubeba chuma weeeee).

...hahahahaha kuny*a any*e kuku, akiny*a bata kahara......wadada tukiwa wazi kueleza kinachotuvutia kwa wakaka ooh hii imekaaje...mbona nyie mara ooh mabinti wa kiethiopia wazuri, ooh ona mtoto huyu makalio makali, ooh napagawa na hiki na kile kwa mdada...mi sijaona cha ajabu hapo...ni kipenda roho tu hicho mdada wa watu kajisemea na labda hata asijitongozeshe kwa huyo kaka wa gaden lav....ni mtazamo tu...lol....mnalo hilo!

Amependa garden luv la jamaa, hajampenda jamaa, sion tatizo

heart_chest_hair.jpg
 
Back
Top Bottom