habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
- Thread starter
- #21
Na kweli mnatia aibu. Tukisema ooooooh oooooh mwatusema nadhani sasa umejionea mwenyewe
he he he mi nafunika uso wangu kuanzia saa hii mtaona macho tu
Na kweli mnatia aibu. Tukisema ooooooh oooooh mwatusema nadhani sasa umejionea mwenyewe
he he he mi nafunika uso wangu kuanzia saa hii mtaona macho tu
hahaaha macho utayaacha wazi kwa ajili ya kuwinda mpenzi wa lafiki yako, ama?
my dear wanawake siku hizi tumekosa haya, ukwlei tunatia aibu
nitatembeaje km nitafunika macho ndg, bac nitavaa mawani musiyaone kabisaaaaa, wataonihitaji wakaniulizie kwetu ndo watapata nafasi ya kuona uso na macho yangu
hampendani ndio tatizo lenu
Hatuhitaji kuona sura wala macho. Tunachokihitaji kwenu ni shape ya mtu, therefore tutakuhitaji tu kwa kuangalia shape yako
wataka kunambia hata nikiwa na jisura afadhali ya pinda nikiwa na shepu kwako nitakuwa na soko tu eenh
[/COLOR]
Haki yanani kwangu soko lako kubwa hapo kwenye blue
kumbe wapenda ile mizigo mikubwa mikubwa, ilojaziajazia neema za allah, nitakupeleka kwa wabantu, mie nimenyookeana tu