Hii imekaaje

Hii imekaaje

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,788
Reaction score
8,755
Natumai mu bukheri wa afya hapo mulipo, nyumba ninayoishi tuko wapangaji watatu, upande wa mbele kuna wadada wawili wamepanga wanashare kulipa kodi, mmojawapo amechumbiwa na tayari harusi ni mwishoni mwa mwezi huu, lakni huyo rafikiye wanoishi wote jana alikuja kuniomba ushauri kwamba afanyeje kwani anampenda sana huyo mume mtarajiwa wa rafiki yake!! kwa ufipi nilimwambia aachane na hayo mawazo akatafute mwingine huyo si wake, baada ya kumwambia hivyo alikasirika na kunitolea maneno yasiyofaa kwamba mimi si mwanamke wa kisasa ninayeenda na wakati!! nilistaajabu sana nikamwambia sawa akaondoka zake......... jamani hiii imekaaje kwa upande wenu kwani mie niliambulia dharau na maneno ya kashfa.
 
Mpumbafu huyo! Ka kakosa mume c akajiuze! Atamtakaje mchumba wa mwenzie? Achana naye tena kaa naye mbali atamtaka na wako! Loh kweli kikulacho kinguoni mwako!
 
Mpumbafu huyo! Ka kakosa mume c akajiuze! Atamtakaje mchumba wa mwenzie? Achana naye tena kaa naye mbali atamtaka na wako! Loh kweli kikulacho kinguoni mwako!

my dear wanawake siku hizi tumekosa haya, ukwlei tunatia aibu
 
Mpumbafu huyo! Ka kakosa mume c akajiuze! Atamtakaje mchumba wa mwenzie? Achana naye tena kaa naye mbali atamtaka na wako! Loh kweli kikulacho kinguoni mwako!
Munkari, usisahau kuwa hata akijiuza, huyo mchumba ndo mnunuwaji mwenyewe....
 
kama anajifanya nunda mwache achezewe!
 
yani bora aende huko kuliko kujidharirisha kwa rafiki yake. Ukute alikuwa akijitongozesha but jamaa akamchunia! Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe loh!
Leo ndo unasema hivyooo...??? Si ndo nyie mnasemaga MFUMO dume...!!!???
 
Mukari unasema?? hawezikosa wakumsukutua yule, sema anatamaa + na tabia mbaya
 
Hatare sana......mmhhh mtu anaanzaje kumtamani shemeji yake?Kweli watu tunatofautiana aisee mi hata kama nna ukame vipi siwezi yani SIWEZI kumtupia jicho shemeji hata siku moja yani hata itokee ameachana na rafiki yangu aaaah.
Asa kama ni marafiki walioshibana huyo anaemtaka shemeji yake akimpata wataishi kwa amani kweli si atanyooshewa vidole?
Kweli adui wa mwanamke.......
 
Huo ni upuuzi dada wawatu anaishi nae siku nyingi sana leo hii atakakumgeuka?? tayari nishamuacha mpenzi akafanye kile anachoona kinafaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom