Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
NINAUMRI WA MIAKA 25 SASA IMETOKEA KILA MSICHANA NINAYEKUWA NAYE ANATAKA NIMUOE, cjui wanamaanisha nini kwa kweli? hata marafiki zangu wengi wananishauri nioe, hata mama ananishauri nioe cjui mimi sura yangu imekaa kama wa kuoa oa i dont know,! ila ukweli cjawahi kupenda au kumuona mwanamke wa ndoto zangu kwanza cjui mtu akimpenda mwanamke anakuajekuaje, mapenzi cjui ndio nini nasikiaga tu watu wanasema nimependa, huwa na watamanigi tu kama nikilipata huyu demu nita sex naye vipi umeona eeh
SASA TATIZO LINAKUJA HAPA kuna binti m1 nipo naye miezi miwili sasa ila sikuwahi kufanya naye ngono na nimemdanganya nitamuoa na anaamini 100% kuwa nitamuoa huwa ananipa mamake niongee naye kwenye simu anasema hawezi kuishi bila mimi ila huyu demu cmpendi sasa nashindwa nitaanzaje kumueleza kuwa sinampango naye na kuwa nilitaka tuwetunachati naye tu naogopa ataumia sana tena anaweza akajiua