Nipo kwenye daladala kuna mama anaongea na simu. Inaonyesha kazaa na wanaume watatu tofauti na huyu mwanaume wa mwisho inaonekana hatoi matunzo kwa mtoto wake. Sasa katika maongezi ya simu huyo mwanaume anaporomoshewa matusi ya nguoni hadi abiria wengine, hasa wa kiume tumeinamisha vichwa vyetu kwa aibu. Sentensi moja aliyoongea na nimevutiwa nayo ni hii:-
"we ni mwanaume gani ambae hujali mtoto, WANAUME wote niliozaa nao wanajali watoto wao, wa kwanza kamsomesha mwanae hivi sasa yupo form two, wa pili nae anamsomesha na anatoa matunzo na mtoto yupo darasa la sita, Ms.....(tusi) wewe mtoto wako hata chekechea unashindwa kumpeleka"
Akamaliza kwa kusema "Najuta kuzaa na wewe".

Kwa kweli yule mama kwa muonekano wake tu anaonekana hana maadilimwanamke alikosa busara kulikuwa na haja gani kuzungumzia upumbavu wake kwenye daladala............au ndio alikuwa anataka kujionyesha yeye ni kiwanda cha kuzalisha.............huyo mwanaume anamakosa ya kutimiza wajibu wake lakini namna huyo mwanamke anaongea itakuwa vigumu kwa huyo baba kurudi nyuma....... na nyie kina baba ukijua una mahali uliacha mbegu wajibika
Nipo kwenye daladala kuna mama anaongea na simu. Inaonyesha kazaa na wanaume watatu tofauti na huyu mwanaume wa mwisho inaonekana hatoi matunzo kwa mtoto wake. Sasa katika maongezi ya simu huyo mwanaume anaporomoshewa matusi ya nguoni hadi abiria wengine, hasa wa kiume tumeinamisha vichwa vyetu kwa aibu. Sentensi moja aliyoongea na nimevutiwa nayo ni hii:-
"we ni mwanaume gani ambae hujali mtoto, WANAUME wote niliozaa nao wanajali watoto wao, wa kwanza kamsomesha mwanae hivi sasa yupo form two, wa pili nae anamsomesha na anatoa matunzo na mtoto yupo darasa la sita, Ms.....(tusi) wewe mtoto wako hata chekechea unashindwa kumpeleka"
Akamaliza kwa kusema "Najuta kuzaa na wewe".
Kwa hiyo nawe unaweza kufanya kama huyo mama?Dah! hiyo kali,Huyo mama hajatumia busara hayo sio mambo ya kuongelea kwenye daradara,Kwa upande wa pili ndo dawa yenu wanaume ambao mnazaa tu hamjui mtoto anaishi vip anakula nini, analala wapi, anavaa nini na hata shule anaenda vip?
Kwa hiyo nawe unaweza kufanya kama huyo mama?
mwanamke alikosa busara kulikuwa na haja gani kuzungumzia upumbavu wake kwenye daladala............au ndio alikuwa anataka kujionyesha yeye ni kiwanda cha kuzalisha.............huyo mwanaume anamakosa ya kutimiza wajibu wake lakini namna huyo mwanamke anaongea itakuwa vigumu kwa huyo baba kurudi nyuma....... na nyie kina baba ukijua una mahali uliacha mbegu wajibika
Dah! hiyo kali,
Huyo mama hajatumia busara hayo sio mambo ya kuongelea kwenye daradara,
Kwa upande wa pili ndo dawa yenu wanaume ambao mnazaa tu hamjui mtoto anaishi vip anakula nini, analala wapi, anavaa nini na hata shule anaenda vip?
Ilo basi ni Darisilama tu!!
Hahaha umeona ee, wa huku vijijini hizo dala dala tunaziona kwa nadra ni mwendo wa kula zoezi la mguu tu kama huna gari
Is a woman something to pick and use? Or something to struggle for and win? Or someone who may select?Katoa lake la moyoni, limwanaume linalopanda Mbegu mahali halafu halikumbuki kulea na kusomesha mtoto wake hata mimi silipendi kabisa. Tena nalifikiria kama angekuwa yy ndo mwanamke huyo mtoto angemuua. Sasa huyo anatofauti gani na mbwa? Mbwa ataacha mbegu mahali wala hatarudi kujua kama kuna kilichozaliwa kutokana na mbegu zake. Ndio huyo mama kamwambia kile kinachomuuma. Crap huyo mwanaume.