Changamoto kwa mke wake. Huyo Ex wake yaonesha alikuwa anampenda kwa dhati. Huyu anayeishi naye napata mashaka, yawezekana hata birthday ya husband wake haikumbuki
Hilo hata mimi nimeliona maana unakumbushwa na mtu wa more than 10yrs? Aibu ningekuwa mimi nisihudhuria kabisa
Jana nilialikwa kwenye sherehe na rafiki yangu.
Tukiwa tumekaa kwenye maakuli na kunywa kwa sana nikamuuliza rafiki yangu huyo vip mwenye sherehe ni nani yako akaniambia ni Ex wake nilishituka kidogo lakini sikuonyesha kwa sana.
Kumbe bwana kamfanyia sherehe ya kuzaliwa Ex wake wa more than ten yrs, cha kushangaza sasa wife home hakukumbuka hiyo tarehe wala kusema happy birthday my husband, pia naye alihudhuria kwenye sherehe iliyoandaliwa na huyo bidada, mdada kaolewa ana watoto wawili na jamaa kaoa na watoto watatu juu.
Wapendwa tuwe tunaachana bila kinyongo huyu mdada nilimpenda sana kwa hiyo roho yake na kumbukumbu sikumdadisi sana kwanini waliachana niliona nisijeharibu sherehe ya watu bure.
Sijui waungwana mnalionaje hili ruksa au???
Mhh!!!
Mimi naomba niulize, huyo mme wa huyo dada aliyeandaa sherehe naye alikuwepo??? Ninavyojua wanaume walivyo na wivu,,,,yaani anakuruhusu umwandalie ex wako sherehe???!!! mhhh...hapo napata maswali!!!
Sidhani kama alikuwepo KH, maana wanaume wa Kibongo walivyo na wivu! Mhhhhhh! pangechimbika! Kusingekuwa na party wala mama yake party bali kasheshe la hali ya juu.
Huyo mke naye alikuwepo tu hapo anakenua meno? mie nisingekubali miaka mia mbili, labda wafanye kisirisiri.lazima kuna kitu behind this. kwani we dena hukuona sign yeyote?
Hata na mimi nina wasiwasi kuna something going on ambayo huyo mke hajui,,,anajua tu ni ex..wa mume wake...! Binafsi nisingeweza kuikubali hiyo sherehe..!!!
Kama karuhusu EX afanyiwe Birthday party, je, ni mengine yapi ambayo anaweza kumruhusu mumewe amfanyie ex wake? Hapa kuna utata mkubwa tu ambao si ajabu hata DA sidhani kama anaujua undani wake.
Lol huyo mke kazubaa sana hivi nafikiri mie nifanyiwe bday na x wangu niende n a mume wangu hivi inakujaje hapo. atleast wangejifanyia wenyewe mchana kuliko kuwachoresha wenzaoHata na mimi nina wasiwasi kuna something going on ambayo huyo mke hajui,,,anajua tu ni ex..wa mume wake...! Binafsi nisingeweza kuikubali hiyo sherehe..!!!