MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,696
- 4,979
Hatari sana! Meaning...usipokua makini..unaweza jikuta unatembea na kila mwanamke anayekutongoza.Karibu mjini ..
Huku mjini hayo mambo yapo toka mwaka 2000...miaka 23 iliyopita...
Utazoea tu
Ok,..kumbe ndio maana wanawake wanaotongozwa tongozwa sana ,wasipokua na masimamo, huwa wanaishia kugongwagongwa hovyo...daah,...Hatari sana hii kitu.Kawaida hyo zama za sasa
Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mbona mm sitongozwi ,hizo bahati mnapata nyie tu
Daah sio poa! Afu adui anapita mule mule kwenye vitu vyako! Jichanganye sasa!!!Kuna vijana wanatamani wangekuwa wew
Sikua najua hii kitu, nilikua nasikia sikia tu. Now ndo napata experienceKwani ulikuwa wapi? Kama hujui nikuambie sasa, hao ladies wamekuwepo tangu enzi za Mkapa.
Thanks BroKaribu mjini kaka
Wanawake ni watu pia, tena wana hisia na tamaa ya mwiliKwema wadau?
Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume...
kama tangazo hiviNimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January
Hatari sana! Meaning hata wao pia wanaweza kuwa na tabia kama za wanaume...I mean wanaweza kukuchezea afu wakimaliza haja zao wanakuacha au sio?Ni kawaida tu jombaa, mademu wa kishua wanafunguka live bila chenga.
Confidence levels zao ziko juu.
Be mindful kwamba ukizingua una mwagwa vizuuri tu. Karibu mjini
Bila shakaHatari sana! Meaning hata wao pia wanaweza kuwa na tabia kama za wanaume...I mean wanaweza kukuchezea afu wakimaliza haja zao wanakuacha au sio?