Hii imekaaje wakuu

Wewe Unasema kutambulishwa kwa Dada yake ambe ukute hata sio dada yake ni mdangaji mwenzake...!! Mjini hapa mzee watu wanaenda kujitambulisha mpaka kwa wazazi dadekii na wakilaa wanasepaaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakuwa bado una ubikra wa mambo ya mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…