Hii imekaaje wadau

Hii imekaaje wadau

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
857
Reaction score
2,289
Kuna mtu aliniomba 1M May, nikamwambia ntaangalia uwezekano ila akiona kimya ajue imefeli.

Leo August kanitumia ujumbe unasema, "NILIKUOMBA PESA ILA UMEKAA KIMYA INA MAANA HAINA UMUHIMU KWAKO".

Shida sio kusema nimekaa kimya. Shida ni hapa kwenye umuhimu yaani we ukiwa na shida ukanikopa pesa inakuwa na umuhimu gani kwangu?

Guys ukiwa na dharura ya pesa usiifanye iwe dharura kwa mtu unaemuomba akusaidie pesa. Jifunzeni kuelewa msaada sio lazima so unapoomba pesa kwa mtu omba pesa na sio kueleza matatizo utayotatua na hiyo pesa.
 
Ulimwambia haya au unatwambia sisi?
 
Back
Top Bottom