Sina tatizo na muda maana mimi ninazo sehemu kama nne ninazoweza kufuatilia muda...ninachotaka kujua mimi kama ni sawa wao kupishana na tupo kwenye nchi moja?Nunua saa yako uwe unaitumia kuangalia muda... Simple
Kwanini hukujitahidi kumuewa mleta mada kabila hujajibu?!Nunua saa yako uwe unaitumia kuangalia muda au uwe unaangalia muda kupitia simu yako. ... Simple
Ni kweliMitaBendi (speed ya mawimbi ya sauti kutoka studio Hadi kwa audience) hutofautiana kati ya redio na redio
Majira ya Mwanza na Dar tofauti kwa hiyo ndio maana umekutana na changamoto kama hiyo na ni kweli ulichokisema na mi pia nilishafatilia Mara kadhaa huwa Radio Free inachelewa kiasi
Ingawa mimi huwa naamini ndani ya mipaka ya nchi muda unapaswa kuwa sawa.Majira ya Mwanza na Dar tofauti kwa hiyo ndio maana umekutana na changamoto kama hiyo na ni kweli ulichokisema na mi pia nilishafatilia Mara kadhaa huwa Radio Free inachelewa kiasi
Umejibu kijografia kabisa,safiiiMajira ya Mwanza na Dar tofauti kwa hiyo ndio maana umekutana na changamoto kama hiyo na ni kweli ulichokisema na mi pia nilishafatilia Mara kadhaa huwa Radio Free inachelewa kiasi
Kwa nini "inapaswa"?..Ingawa mimi huwa naamini ndani ya mipaka ya nchi muda unapaswa kuwa sawa.
Kwa sababu sioni pointi/sababu ya msingi ya kutofatiana muda ndani a mipaka ya nchi hiyohiyo.
Hapo kwenye 'mawimbi' mimi nipo Arusha, RFA ipo Mwanza, RTD ipo Dar, kwa hiyo ninachokisikia mimi Arusha ni tofauti na anavyosikia wa Dar na Mwanza?Timezone ndani ya mipaka ya Tanzania kuanzia visiwani hadi magharibi kabisa kule Manyovu Kigoma ni sawa. Kama Znz ni saa 6 kamili mchana basi Mwanza na Kigoma kote ni 6 kamili mchana. Tofauti unayoisikia wewe inasababishwa na speed ya mawimbi kama walivyosema wadau wengine basi.
... radio waves zenye kasi ya kuweza kuizunguka dunia mara saba kwa sekunde yachukue dakika nzima kutoka Mwanza - Arusha? There must be some other reasons but not the radio waves speed!Timezone ndani ya mipaka ya Tanzania kuanzia visiwani hadi magharibi kabisa kule Manyovu Kigoma ni sawa. Kama Znz ni saa 6 kamili mchana basi Mwanza na Kigoma kote ni 6 kamili mchana. Tofauti unayoisikia wewe inasababishwa na speed ya mawimbi kama walivyosema wadau wengine basi.
Halafu wanaudhi wasikiliza redio kwenye TV faulo haijapigwa unasikia Mwenye redio anakwambia hilo goliSiku moja nenda kwenye mabanda umiza kwenye mechi za bongo ndio utapata picha kamili. Yaani goli linaingia wa radio hii analisikia mapema huku wa radio nyingine anachelewa kulisikia.