Hii imekaaje kwa mtandao wa Voda?

INTROVERT MAN

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
993
1,336
Tangu jana usiku kwa watumiaji wa mtandao wa voda ikifika saa moja hivi ukitaka kutuma sms hazifiki na leo yena inajirudia.

Tatizo ni kwangu tu au hata kwa nyie?

Ninakereka kwa sababu 91% ya matumizi yangu ya simu ni kutuma SMS
 
Mi pia nimehangaika sana nadhan wanajua coz pia kuna wengine haxifik
 
Back
Top Bottom