Hii Imekaaje, Kuna Ukweli?

Ina maana mzungu hata akiua atajitetea kuwa alikuwa anajihami na adui washenzi kweli hawa viumbe
 
NDIVYO ILIVYO, KWA WALE TULIOKAA UGHAIBUNI NI MASHUHUDA!! Mungu aepushie mbali. Halafu wakija huku bado wanatunyanyasa yaani jamani hakuna mtu hapo anipe mashine Gun!!!!!
 
NDIVYO ILIVYO, KWA WALE TULIOKAA UGHAIBUNI NI MASHUHUDA!! Mungu aepushie mbali. Halafu wakija huku bado wanatunyanyasa yaani jamani hakuna mtu hapo anipe mashine Gun!!!!!

Zenofobia ya wageni kwa wenyeji... Hii mupyaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…