Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kitu kinachowasukuma dada zetu,wa kitanzania kutojikubali walivyoumbwa na badala yake kujiongeza kwa kuvaa mawigi kujichubua na mengi mengineo.
Siku zote nimekuwa nikiamini kuwa dada zetu wakiwekeza kwenye uzuri wao wa asili wanaweza kutia msukosuko dunia nzima..
View attachment 860606Picha hii ni ushahidi na naiweka hapa sio kwa nia ya kumdharirisha mtu isipokuwa nimeipenda, na natoa pongezi kwa Air Tanzania kwa kufanyia kazi maoni ya wadau.