Hii ime kaa vipi..

Hii ime kaa vipi..

ThugMaster

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
1,601
Reaction score
2,263
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-

1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, nampa papa we nae ni mwanaume wa Dar‍♂‍♂
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri,na nyimbo zako tarabu wewe ni mwanaume wa Dar
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol ,jomon wewe ni wa Jiji la Makonda
7. Unavaa surual mebana chin afu unaivuta usawa wa kigimbe wew ni mwanaume wa dar
8. Unaishi Musoma alafu uvaa Helen na nyweli unapaka rangi ya nyumba Dar
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar

Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani
 
Mwanaume unanunua muwa unaomba umenyewe haitoshi kabisa unaomba ukamuliwe unywe juisi?
 
Mwanaume kuoshwa miguu na mwanaume mwenzio

mwanaume unapiga picha ulimi nje
 
Mbona wanaume wa Dar mmekaa kimya? Kweli mko hivyo?
 
Back
Top Bottom