Hii ilikua ni Mbeleko Kwa Yanga

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Kuna vitu vingi Yanga walifanya na kufanyiwa jana na hovyo sitastuka wakienda Cairo kwa marudiano........mojawapo ni hii mbeleko ya wazi ukingoni mwa mechi kwani ilikua ni tuta na umeme juu

12991129_1669363816649219_5925159490849487641_n.jpg
 
Kuna vitu vingi Yanga walifanya na kufanyiwa jana na hovyo sitastuka wakienda Cairo kwa marudiano........mojawapo ni hii mbeleko ya wazi ukingoni mwa mechi kwani ilikua ni tuta na umeme juu

View attachment 336271
Naanza kukukona kuwa si mwanamichezo, kuna kipindi nilijua ni mtu wa maana kumbe ni poyoyo kiasi hicho!!!!!
 
kumbe na wewe ni mbwatukaji .........................kati ya mia umenidhulumu kwa moja
 
jenga hoja wacha personalization hiyo ni simple mind ideas ....................................unadhani disqualification yako itaniathiri nini mimi Amavubi au una uungu gani kwenye utashi wangu
Naanza kukukona kuwa si mwanamichezo, kuna kipindi nilijua ni mtu wa maana kumbe ni poyoyo kiasi hicho!!!!!
 
jenga hoja wacha personalization hiyo ni simple mind ideas ....................................unadhani disqualification yako itaniathiri nini mimi Amavubi au una uungu gani kwenye utashi wangu
Mtu ambae anaongea kimichezo hawezi kuandika post kama yako, mbereko hapo ilikujaje!!! Ingekuwa marefarii wa bongo ungekuwa unasema yanga inabebwa sasa sijui utasemaje!!!! Au yule refarii nae anaipenda yanga????? Acha mambo hizo bwana lazima ujenge mawazo kimantiki. Unajishushia heshima ndugu, labda unaongea utumbo hivi kwa kuwa unatumia ID FAKE!!!!!!!!
 
ukipenda chongo utaita kengeza wacha nikuache.....najua hapa tupo kiutani wa jadi na menoi ya mbwa hayaumani
 
Ajabu ya nchi hii washabiki wa timu ya Simba jumamosi walinunua jezi za timu ya Al Ahly na kwenda uwanjani kuishangilia. Lakini leo timu yao inacheza na Coastal Unioni katika kombe FA awajaenda uwanjani kuishangilia timu yao
 
Pata picha Ismail Aden Rage aliwaitaje!!!!!
 
Kuna ile dakika ya mwisho aliyosukumwa na kuangushwa yule nigger wa Ghana,ilikuwa pelnat kabisa!
 
Back
Top Bottom