Hii ikoje? Siielewi

Hii ikoje? Siielewi

Scolari

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
1,723
Reaction score
2,419
Nimekutana na binti mmoja muda wa mwaka sasa tuna uhusiano Bomba lakini mwezi wa 6 tarehe 23 alisema hafurahii uhusiano wetu na wala hatujagombana ingawa siku chache nyuma alianza kuonesha tofauti nyingi
 
Duh! Mzee umeweka hadi tarehe?!
Eeh
Nimemuelewa anasema hataki uhusiano nikimuuliza anatakaje hasemi nikimwambia anataka tuachane anasema ananipenda Tu

Njia panda
Mimi nataka nimpige chini kabla sijapigwa chini
 
Eeh
Nimemuelewa anasema hataki uhusiano nikimuuliza anatakaje hasemi nikimwambia anataka tuachane anasema ananipenda Tu

Njia panda
Mimi nataka nimpige chini kabla sijapigwa chini

Muulize kama bado anataka uendelee kumgegeda
 
Pole mkuu jaribu kuchunguza tatizo ni nini ila kama hakuna tatzo jiandae kisaikolojia
Niko tayari Kwa kila Kitu
Tukio la Kwanza lilinifunza

Saiv nikuwekeza akili kwenye mambo yangu
Sitokua na uhusiano Kwa sasa nikijiskia kua na dem ntatafuta

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Nilidhani bado ujajifunza kwa past experience yako, pambana na maisha weka mambo sawa hasa kiuchumi zaidi haya mengine yapo tu yatajiseti
 
Ukiona mwanaume unaachwa sana wanawake,achana nao jipe mda tafakari.
 
Back
Top Bottom