donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 16,506
- 20,143
ndio wakuu. naomba msaada kutoka kwa mtaalam wa macho. Kuna huu mtindo umezuka wa vijana na watu wengi kupenda kuvaa sun glasses usiku. Pia hata kuna baadhi ya mastaa wa ulaya na hapa nchini wana tabia hii. Je, hai affect vision ya mtu? naomba msaada wa maelezo tafadhali.