Hii Iko sawa Mke kunisalimia shikamoo?

Hii Iko sawa Mke kunisalimia shikamoo?

mimi sipendi, maana linaweka kama formality fulani hivi, mtu na mke mnatakiwa msiwe formal saana bana, mnatakiwa muwe kama marafiki mliozoeana na sio kama mtu na boss wake
kweli kabisa Real G thanks u
 
Mkuu huyo umemtoa killage nn?..Mana hawa wa town hata akiwa anadate na kibabu wala hakiamkii..Ndo kwanza anakiita baby
kaboom sio wa village, basi tu lakin hii hali inaniboa kiasi ila mwenzangu anakazana sana
 
Huyo mwanamke atakuwa amelelewa ktk familia zinazoambua nguvu ya mume ktk familia.


Endeleeni tu.
 
Back
Top Bottom