Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,546
- 6,499
Wakuu mimi nina swali moja tu leo.
Kwanini mwanamke akikuelewa halafu wewe huna muda nae basi anakuletea shobo nyingi, ila ukithubutu kumtongoza tu basi anakuwa ni mtu wa kuona aibu muda wote hata usoni hakuangalii?
Anakuwa kama kaingiwa na woga flani yani hata salamu kukupa inakuwa changamoto tofauti na mwanzo.
Je, hii hali huwa inatokana na nini? Maana nimeshaona kwa wanawake zaidi ya watatu sasa.