Hii hutokea chuo cha usafirishaji (NIT) tu

Rudia tu hamna namna, mi nilirudia mwaka kwa kesi ya majungu tu sio kwamba nilishindwa mtihani ila chuo kilitumia mabavu yani! Ndio vyuo vyetu vya kibongo hivo
 
Mh! Hivi carry bado ipogo?
 
Alikuwaga mkuu wangu wa idara huyo akabadilishwa akawekwa mama moja amaitwa Leticia ni noma sema yupo jamaa moja anaitwa Thomas Mosha aka magumashi yuko poa sana.
Mwalimu Daudi amelalamikiwa sana.Ana shida gani?
 
wanafunzi wasikuizi bhana dah mnapenda kulialia mbn NIT chuo chepesi sana kile ungesona DIT, ARU,Muhimbili je au Mzumbe ww si ndo mngedata nyie.....visabu vya it vinawatoa jasho wakati mnatumia simu lap too ila it amuijui dah.
Umeongea point ila mifano ya vyuo vyao ni takataka hizo.vyuo vyote vya mapopoma hivyo mkuu
 
Kwani Sheria inasemaje ukifeli mwaka wa
Mwisho? Tuanzie hapo, ila ukifeli nit ujue UDSM ungedisco kabisa
 
Hakuna tofauti Sana na chuo Cha maji somo la hesabu supplementary yake mtego imewahi kurudisha nyumbani rafiki zangu wengi Sana ..eti ukifeli next offered na sio una carry somo..kwa kweli vyuo vya technical viangalie Sana hii kitu
 
pili.Kawaida vyuo vyote ukifeli somo moja unaenda mwaka 2 au 3 lakini unabeba/soma lile somo ulilofeli mwaka uliopita

hapa labda nikueleweshe ndugu yangu... bachelor degree mwaka wa kwanza na wapili huwa ni NTA LEVEL 7 ndio maana unaruhusiwa kucary masomo yote hata core subjects sababu ni ndani ya level moja

sasa ukija mwaka wa 3 huwa ni NTA LEVEL 8 sasa hapa hutakiwi kuingia na vimeo vya kutoka LEVEL nyingine unless kiwe kimeo cha ELECTIVE SUBJECT kikiwa CORE SUBJECT kutoka NTA LEVEL 7 mwaka wa1-2 huruhusiwi kuingia nacho NTA LEVEL 8 mwaka wa 3

sasa basi kama hilo somo la IT lilikuwa ni CORE SUBJECT na mmeshindwa kusapua basi hakuna sheria yoyote inayokuruhusu kucary kuingia nalo mwaka wa 3 kwa vyuo vyote vya serikali hapo utapata kitu kinaitwa REPEATE MODULE yaani unarudia mwaka wa pili ukisoma somo/ masomo uliyofeli

sasa embu nijibu hyo module ya IT ni core au ni elective... kama ni elective basi hamjatendewa haki ila kama ni core inabidi tu mrudie mwaka 2
 
wanafunzi wasikuizi bhana dah mnapenda kulialia mbn NIT chuo chepesi sana kile ungesona DIT, ARU,Muhimbili je au Mzumbe ww si ndo mngedata nyie.....visabu vya it vinawatoa jasho wakati mnatumia simu lap too ila it amuijui dah.

ila ARU kuna sehemu wanalegezewa kama sheria ya course work haifanyi kazi.... pale ARU hata mtu akiwa na course work ya 12 anaingia kupiga paper la mwisho ...hawana technical sup pale...
 
Hicho chuo akina ile Managment Credibility and integrity..
nikifanya interview mwaka 2015 ya kufundisha hilo somo, nikafika mpka Oral, kipindi hicho wao wakifanya recruitment..
Baadae nikisikia kuwa wamememuweka mtu wao aliyekuwa akijitolea kwa muda mrefu..
yaan Oral ya watu 10, kwa upepelezi wangu hakuna hata mmoja aliyeitwa kazini..
vilevile kwa nafasi ya ICT Oficer ilikuwa vilevile..

sa iv naona utumishi ndio wanafanya recruitment insteda off, na muda sio mrefu mtapata mwalim wa somo hilo maana nomeona wamepeleka ajira mpya kwenu
 
Kama uko diploma hakuna ku carry somo lazima urudie mwaka!

Ila kama upo bachelor then unaambiwa urudie mwaka kwa somo moja kutakua na tatizo
Ni bachelor mwaka 2 kwenda mwaka 3 ndo wamefanyiwa hvo
 
Wanafunzi 400 mkuu
 
Baada ya mwalimu kubadilishwa mwalimu husika akatoa tangazo wanafunzi warudi chuoni but walikua tayar washarud makwao
 
wanafunzi wasikuizi bhana dah mnapenda kulialia mbn NIT chuo chepesi sana kile ungesona DIT, ARU,Muhimbili je au Mzumbe ww si ndo mngedata nyie.....visabu vya it vinawatoa jasho wakati mnatumia simu lap too ila it amuijui dah.
vilaza
 
Sio core subject ni elective
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…