Hii hutokea africa pekee yake!!!!!!

Hii hutokea africa pekee yake!!!!!!

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,415
Ni majanga kuwa mwizi wa kuku africa kuliko kuwa mwizi wa mali ya umma.
FB_IMG_1543634175054.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_1543634175054.jpg
    FB_IMG_1543634175054.jpg
    21.8 KB · Views: 36
  • FB_IMG_1543634175054.jpg
    FB_IMG_1543634175054.jpg
    21.8 KB · Views: 36
  • FB_IMG_1543634175054.jpg
    FB_IMG_1543634175054.jpg
    21.8 KB · Views: 38
Huyu hajaibia umma kaibia mwenye mali lazima ale kibano. Ila angeiba kuku wa umma hakuna ambaye angemkomalia. Mali ya wote si ya yeyote
Kwa hyo fisadi chenge alivyopiga hela za dowans ni sawa tu7?
 
Kwa hyo fisadi chenge alivyopiga hela za dowans ni sawa tu7?
Ndio, ningeipata ile nafasi hata mie ningepiga. Nani aliyefilisiwa kwa kuikamata fursa?. Usipopiga unaitwa bwege tu!
 
Back
Top Bottom