Kuna pia Öresund bridge toka Norway kwenda Finland na Sweden nimekatiza na gari na treni juu.
Jamaa wamepiga undeground tunnel ndani ya maji [emoji2211].
Gari inapita chini ndani ya maji treni juu darajani
Tupo pamoja Mkuu....tatizo motoni tutakuwa mbalimbali....C na U hizi alphabet zitafanya tusionane. Ila mpaka sasa kwenye hiyo picha unayoivuta tupo pamoja....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna pia Öresund bridge toka Norway kwenda Finland na Sweden nimekatiza na gari na treni juu.
Jamaa wamepiga undeground tunnel ndani ya maji 🚶♂️.
Gari inapita chini ndani ya maji treni juu darajani
Sheikh Makhtum ametengeneza ka hizo huko kwake dubz, barabara ukipita simu inapoteza network hadi utokezee upande wa pili ardhini. Watu wana akili pana na pesa za kumwaga 🤣