yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,532
- 3,177
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna anayekuona huko beba tu vzr ila ukweli unakuchoma moyoni ....narudia tena nchi yeyote duniaani huwezi kupewa kazi maana kutoka third world otherwise hiyo kazi inadharauliwa na wazawa ila kwa kuwa unatoka lcd utawaringishia wenzio una kazi ya maana hukoHahahahaha lol! Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Narudia tena kwako wewe mburula acha kujibaraguza kama vile unanifahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app