MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,718
- 21,939
Ni hakika sasa hivi tunakusanya hela kuliko mahitaji yetu, baada ya Magufuli kuwakurupua wenye vyeti feki, mishahara hewa na makusanyo ya kodi kuimarika.
Na bado Uganda wakimaliza bomba lao tutakuwa na ziada ya kuweza kununua ndege aina ya A380 Airbus kila mwaka na chenji ikabaki ya kutosha.
Mabeberu baada ya kujaribu kututikisa kuangalia kama kiberiti kimejaa wamekuta njiti ziko full, naambiwa kuna mwanasheria mmoja aliwapelekea external harddisk ya GB 100 imejaa mafaili ili wayatumie kutunyoa bila wembe, mabeberu yakamwambia hatuwezi kufanya lolote mbele ya Kabudi.
Wakuu huu mzigo utakapoingia hivi karibuni tuupeleke wapi, tuanze phase ya 3 SGR kuelekea Isaka au tumalizie barabara hapa mjini, kwa bilioni 300 tunapata km250 na ushehhe