Hii hela ya Barick tuipeleke wapi? SGR Dodoma - Isaka au barabara hapa Dar?

Hii hela ya Barick tuipeleke wapi? SGR Dodoma - Isaka au barabara hapa Dar?

Tangu lini Mpango amekuwa wa Chadema? Sasa wewe Mburula uliyekuwa hapa kufukuzia buku 7 ili mkono uende kinywani na yeye nani tumuamini!?

Tafuta ajira ya maana au rudi kijijini ukashike jembe badala ya kutumiwa kama mtambo wa kusambaza uongo wa lumumba.

Hahahahaha eti kuporomoka na kuanguka kuna tofauti. 🤣🤣🤣

ficha ujinga wako hukohuko Ufipa, kama unashindwa kutofautisha kuporomoka na kuanguka sijui unaweza kukumbuka hata password yako, lakini watu kama nyie (nyumbu) mmekuwa mtaji mkubwa sana wa mwenyekiti wenu, siku uwezo wako wa kufikiri ukiongezeka by 0.5 % Mbowe mtamtoa hapo ofisini ndani ya dakika moja
 
Ni hakika sasa hivi tunakusanya hela kuliko mahitaji yetu, baada ya Magufuli kuwakurupua wenye vyeti feki, mishahara hewa na makusanyo ya kodi kuimarika.

Na bado Uganda wakimaliza bomba lao tutakuwa na ziada ya kuweza kununua ndege aina ya A380 Airbus kila mwaka na chenji ikabaki ya kutosha.

Mabeberu baada ya kujaribu kututikisa kuangalia kama kiberiti kimejaa wamekuta njiti ziko full, naambiwa kuna mwanasheria mmoja aliwapelekea external harddisk ya GB 100 imejaa mafaili ili wayatumie kutunyoa bila wembe, mabeberu yakamwambia hatuwezi kufanya lolote mbele ya Kabudi.

Wakuu huu mzigo utakapoingia hivi karibuni tuupeleke wapi, tuanze phase ya 3 SGR kuelekea Isaka au tumalizie barabara hapa mjini, kwa bilioni 300 tunapata km250 na ushehhe
Wakulima wa korosho bado wanalia hamjawalipa stahiki zao na mnawanyang"anya korosho zao kwa kisingizio cha kuhakiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini Mpango amekuwa wa Chadema? Sasa wewe Mburula uliyekuwa hapa kufukuzia buku 7 ili mkono uende kinywani na yeye nani tumuamini!?

Tafuta ajira ya maana au rudi kijijini ukashike jembe badala ya kutumiwa kama mtambo wa kusambaza uongo wa lumumba.

Hahahahaha eti kuporomoka na kuanguka kuna tofauti. 🤣🤣🤣
niko kijijini nalima,
uchumi ungekuwa mbaya kama unavyousema, sasa hivi Mpango unafikiri angeendelea kuwa ofisni anafanya nini?, nyie kuitwa nyumbu msitumie kama kigezo cha kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri,wewe ni binadamu umepewa upeo utumie
 
Sasa hivi wameamua kutaifisha korosho za watu kwa kisingizo cha uhakiki kama huna shamba unanyang'anywa hizo korosho
Mnakusanya pesa kuliko mahitaji yenu! Wakati huo huo mmeshindwa kuongeza mishahara kwa mwaka wa nne, zoezi la kununua korosho kwa siku mbili limeshindikana sasa wale waliofukuzwa kununua korosho wanakaribishwa!

Umburula kweli ni mzigo mkubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha umburula wako wewe. Kuongeza purchasing power ya Wananchi ni kipaumbele cha nchi yoyote ile duniani ili kuboresha maisha yao ya kila siku na hivyo kusaidia katika uchumi wa nchi kukua kwa kasi kubwa.
Kumbuka pia unaweza ukaongeza inflation ukimwaga mipesa mitaani ovyo ovyo. Balance inatakiwa.
 
Wasaliti na watetezi wa mabeberu wanapata matumbo ya kuhara hawapendi kusikia habari hizi!
 
Kwa hiyo kwa akili yako finyu aliyeangusha uchumi ni Mpango?

Aliyeangusha uchumi ni huyo kichaa dhalimu hujamsikia mara chungu nzima akilalamika kwamba urais ni mgumu? Kama kagundua urais ni mgumu kwanini Manyanga kurudi Chato akachunge bata?

naona unahamisha magoli unajua uchumi ulioanguka mkuu? naona mnaanza kutumia terms ovyo ovyo
niko kijijini nalima,
uchumi ungekuwa mbaya kama unavyousema, sasa hivi Mpango unafikiri angeendelea kuwa ofisni anafanya nini?, nyie kuitwa nyumbu msitumie kama kigezo cha kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri,wewe ni binadamu umepewa upeo utumie
 
Duhh watu Ni shidaaaaaa,rais anaweka misingi ya kiuchumi katika taifa,miundombinu ikiwepo yenye kutoa huduma safi na kwa wakati hii itapunguzia wananchi kero mbalimbali,nvhi itakuwa kama kijiji katika utoaji huduma na kila mwananchi atafaidi,tumuunge mkono rais wetu,watumishi pekee kuwa na hela nyingi sio ishara nxuri kwa afya ya kiuchumi ya wananchi wote,kila mwananchi anahitaji fursa katika kuboresha maisha na fursa sio kumwaga pesa bali kutengeneza fursa za kujipatia pesa,kigoma Dar ikiea itafikika kwa saa kwa njia ya reli nani atakubali aishi Dar jiji la joto,
Hizo pesa anazitoa kwenye mshahara wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom