NAPITA hii ni balaa aise
Mokoyo wacha tuyaone tuu kwenye tv huko kwa wenzetu ila hili sio la kuombea hata kwetu maana itakuwa ni balaaBalaa sana Mkuu, unajua Watanzania Mungu katuepusha na majanga mengi sana. Inabidi kumshukuru sana Mola kwa rehema na neema anazotujalia
na jinsi ambavyo tuna mifumo mibaya ya uokoaji tungeshakwishaHuwa nawaza sana vitu km hivi vingekuwa vinatokea Africa mara kwa mara sijui tungekuwaje
Ndio! Tanzania imedai itatoa msaada wa Pembe za Ndovu!Inaogopesha! Nchi imetikiswa na kutikisika kama kiberiti! Tanzania imetangaza kutoa msaada?