Hii hata Lowassa anacheza

Wajinga wajinga tuu..huo ufisadi alifanya bila rais wa nchi kujua..kama hakujua ni mjinga sana
 
Lowasssa alikuwa waziri mkuu wa kwanza aliyepigwa chini kwa kashfa Tanzania hii. Usisahau hilo.

Na mtayarisheni ukisha uchaguzi kuna kesi zinamngoja.
tusema machache na tuwe na staha! mengine tuache ushabiki mungu atulinde. kashfa ya lowassa ni ya serikali nzima, na zimekuwepo kashfa hata yeye alipoondoka, tumuachie mungu atawahukumu waongo wote, jambo la familia/nchi likiharibika asachiwa mmoja wakati wote wameshiriki!
 
Ukiachana na siasa Komba alikuwa na kipaji cha Sanaa.!
 

Na ndiyo maana baraza lake la mawaziri likapigwa chini na akaondoka na wote waliohusika kwenye hiyo kashfa.

Na ndiyo maana tumempiga tena chini kuwa mgombea wa CCM.

Kitanda chako kikiingia kunguni unapuliza dawa, hukichomi kitanda - kumbuka hilo.
 
Nashukuru Twaweza wamenisaidia kukuelewa wewe ni mburura na mzeee...jinga kabisa kutokana ma utafiti wa Twaweza..

CCM mbele kwa mbele...

#HapaKaziTu
 
KANU nao walikuwa na nyimbo nyingi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 

dah kumbe ndo ilivyokua ila nasakia walikua kumi na mmoja ningependa niwajue nawengine pls.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…