Hii hari ilishakupata..?

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
2,338
2,000
Yaani unatafuta kitu mpk unataka kulia unakuta kila unae muuliza eti ajui

Yaani kero tupu ukute kwa muda huo ndo kina umuhimu
Nilishatafuta Cheti cha form four nilkua nataka nikakitoe kopi kwa ajiri ya Veta aisee nilitafuta kama lisaa hivi kumbe nilikua nmekishika mkononi
Nilitaka kukichana nilivyojua kumbe nilikua nacho muda wote huo...

Je wewe pia ulishakutana na hii kadhia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom