Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 400
- 811
Imetajwa YANGA na MAYELE.
USHAURI:
Next time wangeweka na timu zilizoishia robo
Ngoja wajeMayele kapewa kiatu huko kwa maluza?
mpk msimu mpya uanze yanga itatajwa sana...tuzo za afrika bado vileee!!!View attachment 2655845View attachment 2655846
Imetajwa YANGA na MAYELE.
USHAURI:
Next time wangeweka na timu zilizoishia robo
tumewasema sana, sasa yatosha.waa cheni nao wapumue.Kuna watu kilA muda ni ka
ma vidonda wanabanduka magamba kila muda.