Hii hapa remix atuchezi simba kimeumana

🤣🤣🤣🤣🤣

Figisu za Yanga, na nyie Yanga bhana, mtukome, mnakaujaujanja sana, na hili tunawaambia, na sisi tunaungana na nyie kugomea fainali hii, na nyie endeleeni na kugomea mechi yetu

Hapo ngoma droo, na mtukome Yanga 😁
 
Yanga wana husikaje caf apo pambaneni tu kama mbona wapemba wa zanzibar wamefurah mechi kuchezwa kwao
 
Kuna Kamchezo Ka Upigaji Pesa Kanachezwa Hapa Bongo Na Wajanja Sema Wanyonge Bado Hawajashtukia,,Bado Fikra Ni Maiti...!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…