Bodi ya ligi wapo watawasaidia. Gomeni msicheze fainali.
Yanga wana husikaje caf apo pambaneni tu kama mbona wapemba wa zanzibar wamefurah mechi kuchezwa kwao🤣🤣🤣🤣🤣
Figisu za Yanga, na nyie Yanga bhana, mtukome, mnakaujaujanja sana, na hili tunawaambia, na sisi tunaungana na nyie kugomea fainali hii, na nyie endeleeni na kugomea mechi yetu
Hapo ngoma droo, na mtukome Yanga 😁ak tuna husikaje uko caf
Ubaya ubwela😆😆😆😆