Hii hali ya hewa Tukuyu inanifanya nisitoke nje!

Sasa wengine ambao tumejipanga kuja fanya kazi (field) huko Mbeya na Makambako mwezi huu wa August sijui itakuwaje. Outdoor works may be difficult to implement. Tunashukuru sana mdau.
 
Back
Top Bottom