Hii hali ya hewa Tukuyu inanifanya nisitoke nje!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Lydia Airport 057.jpg
Jamani hali hii inanifanya hata nje sitoki kwenda kupata laga, sijui makwenu.
 
huku kwetu syria tunaomba tubadilishane na nynyi huko! tz, mana huku ni mvua ya mabomu
 
Aiseee baba yangu mi naona kama hapo ni uchinani unanikumbusha mapicha ya jit lee
 
Hahaaaaaa..umenikumbusha kwa bibi yangu hapo makandana....nyuma ya kwa mzee kabigi...pumzika kwa amani bibi yangu angabile aka mama zena
 
halafu uwe haujalima, halafu ulie njaa wakati wa kiangazi......! tafuta mwavuli UKANYWE BABA!
 
Back
Top Bottom