Nilikumisi mtoto mzuriAbee mkuu
Mimi nilishakimbia niliposikia "Bebi nikuambie kitu"Wakuu,
Sasa ule msimu wa wanaume kupata tabu sana umewadia.
Wanakuwa wapole...maana baridi inawanyoosha.
Kama kawaida walioa wana raha zao maana wana mahali pakula.
Sasa wakina yahe kutwa beb ukowapi...visimu vingi saivi kwa wapenzi wao hata waliowaacha.
Wale wa punyeto sasa saivi ndio hali ya hewa nzuri mshindwe wenyewe.
Aisee...hii inaitwa usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo.
Napita tuuu...!
Be really alerted ukianza kusikia hii tungo. huwa najifanya niko busy na kama ataamua kupiga muda huo haki ya nani sipokei.Mimi nilishakimbia niliposikia "Bebi nikuambie kitu"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Be really alerted ukianza kusikia hii tungo. huwa najifanya niko busy na kama ataamua kupiga muda huo haki ya nani sipokei.