Hii hali ya 'baridi' wanaume wanapata tabu sana

Hii hali ya 'baridi' wanaume wanapata tabu sana

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,322
Wakuu,

Sasa ule msimu wa wanaume kupata tabu sana umewadia.

Wanakuwa wapole...maana baridi inawanyoosha.

Kama kawaida walioa wana raha zao maana wana mahali pakula.

Sasa wakina yahe kutwa beb ukowapi...visimu vingi saivi kwa wapenzi wao hata waliowaacha.

Wale wa punyeto sasa saivi ndio hali ya hewa nzuri mshindwe wenyewe.

Aisee...hii inaitwa usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo.


Napita tuuu...!
 
Hebu ngoja nichunguze kama nitapata tabu au nitaitwa ofisini kwa RC ili kusaidia kufifisha "damage control " iliyomshinda mtu.
 
Ngoja kwanza nimpigie mtu simu kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom