Matukio ya kikatili yamezidi mnoo mauwaji,ubakaji na ulawiti hasa kwa watoto wadogo wasio na hatia. Tutoe maoni yetu hali inatisha kama sio ww uliekumbwa na hyo kadhia basi jirani yako anaweza akawa amepatwa na hilo janga.
Na uhangaikaji na tamaa za kilimwengu zimetuzidi wanadamu,kufanya lililobaya wala hatuna hofu ya Mungu. Kila mwenye ndimi na akili timamu anajitahidi ili apate ya ulimwenguni ni jambo la hatari sana kwakweli.
Kabisa mkuu,bahati mbaya sana tukifa fahari yote ya dunia tunaicha. Shida anabakia nayo mtoto wa kike aliebakwa na babayake kila anapopita ananyooshewa kidole. Hali kadhalika kwa akina mama pia