Kweli hii ni picha inayooonyesha jinsi viongozi wenu wanavyotufanyia, ebu ipelekeni mbali zaidi waone wanavyotuonea. Nauli ya dala dala mtihani lakini wenyewe wanabugia tu.
Hiyo ni tafsiri tosha kwa nchi yetu iliyosetiwa na kuelea angani. Mwenye nazi kichwani anajaribu kuruhusu dowans ilipwe halafu anasikilizia wananchi wanasemaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.