Hatushiriki uhuni.Si mmesusia Uchaguzi?? Sasa kinachowasumbua na kuwauma ni kipi 😂😂
Kipimo cha ujingaKalagabagho, ndo kilichobaki kwa chadema chakavu........majingu na wivu tu.
Uliwahi kuona au kusikia lini watu wa CHAUMA au act wazalendo au cuf au NCCR wanaotumia muda wao kuizungumzia na kuikandia chadema zaidi ya kuvingumzia vyama vyao na mapambano yao dhidi ya ccm?!!!Kama mliamua ya CHADEMA hata ya Chaumma yatajadiliwa Kwa musatakabali wa Siasa zetu.
Hiko chenu ni Cha upumbavu.Kipimo cha ujinga
Hilo liko wazi ingawa hawa wachawi waitwao chadema chakavu hawaelewi hata kinachoendelea.Chauma ndio chama.kikubwa Cha upinzani