Haya mabonanza na mazingaombwe ya pembeni mimi hayanipi shida sana.
Nasubiri tu kusikia ya huko ndani ya CCM yenyewe; kukubali kutumiwa na genge lisilokuwa na akili namna hii kuvuruga kila sifa iliyo kwisha patikana kuhusu chama hiki.
Nasubiri kwa hamu sana.