Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani

Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani

Mchumi90

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,102
Reaction score
1,331
Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.

Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.

Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.

#No reforms No election
 
Labda ungejikita kuzungumzia yenu ya chadema chakavu; hayo ya CHAUMA tuachie sisi wananchi tuamue kama tulivyoamua kuhusu nyie. Kwani shida yenu nini'?!!! Nyie si mmesema mpo na wananchi wote?
 
Ukishaona chama kinapambana na mpinzani mwenzake ujue hiyo ni CCM B
 
Nauri za walio kodiwa morogoro mpaka mda huu wamepata na posho zao.
Maana CCm hata fisi wa simiyu wanaweza kuwa na chama sasa.
 
Ahaaa kuna Dada nimemsimi cloudsfm warimrusha live kupitia kipindi cha jahazi akasema anamshukuru Devotha kwa kuwajali na kuwawwzesha .

Yaani sisiemu wanafanya utoto
 
Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.

Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.

Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.

#No reforms No election
No Reforms No Election
 
Nadhani tuachane na CHAUMMA sisi tuendelee kupambana na CCM
 
Social networking zimesandia sana watu kupata habari kuchuja pumba na Mchele na shule za kata na wahitimu wengi wa vyuo wako mtaani
 
Ahaaa kuna Dada nimemsimi cloudsfm warimrusha live kupitia kipindi cha jahazi akasema anamshukuru Devotha kwa kuwajali na kuwawwzesha .

Yaani sisiemu wanafanya utoto
Sasa Bawacha shida iko wapi hapo? Nyie si mmesusa wenzenu wanakula, kalagabhao!!
 
MAENDELEO HAYANA CHAMA
NO REFORM NO ELECTION
SO SINA CHAMA MTU HATA MMOJA NINAMFAHAMU ATANISAIDIA SO WAKIENDA KUPIGA KURA MIE NITAKUWA NIMERARAAAAA NAOTA MAKANDE NILIYOKULA
 
Social networking zimesandia sana watu kupata habari kuchuja pumba na Mchele na shule za kata na wahitimu wengi wa vyuo wako mtaani
Si mmesusia Uchaguzi?? Sasa kinachowasumbua na kuwauma ni kipi 😂😂
 
Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.

Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.

Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.

#No reforms No election
Mmecheka kwa kuwa nyie ni wehu
 
Yani mpaka mtu unaishia kukaa kimya tu vitu vya kufanywa na watoto wa darasa la 7 kwenye rehearsal ya maafali wanafanya watu wazima kabisa na wenye elimu zao.
Nyie kwl ni waajabu, chama kinakufa bd mtu haelewi anashangaa. Ndio wameshaondoka hivyo
 
Back
Top Bottom