Hii futuhi ya Leo kulikoni

Hii futuhi ya Leo kulikoni

fizo talent

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
2,256
Reaction score
3,890
Nimerudi home nimuangalie brother K ktk futuhi maana angalau nikimuangali huwa nasahau km kuna vyuma vilivyoshindikana kulainishika nashangaa naona sura zisizoeleweka halafu kipaji ziro yani nimeboreka mbayaaa
 
Hizo sura zilikwepo hapo awali na walikuwa vizuri ndio waliovumisha jina la futuhi lakini naona hivi sasa wamefulia wanaipigia tu promo tatu mzuka...
Yupo babu mkombe, mchele, n.k...hawa jamaa walikuwa hatari sana labda watarudi kwenye form...
 
kwa sasa futuhi bora kabisa kwangu ni Mizengwe, Bakora na Futuhi
 
hawa ndo walikua waanzilishi wa futuhi ..sijui sa hivi wamekuaje kina babu mkombe....kiukweli mi nawaelewa sana hawa kuliko wale kina brother k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom