Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,742
Mkuu Nyau yupo chini ya mto karibu ya kichwa cha mtoto muangalie vizuri utamuona hapo.Team imekamilika naona aliepungua hapo ni Nyau tu.
Harambeee jamani,hii kali, mkuu Washawasha embu pitisha bakuli la mchango upate kitanda kingine.
Usiku kunakuwa na shughuli pevu kwa kweli wanga wanataka wamtumie nyau kwenye mambo yao ya kishirikina mbwa anawazuia wachawi basi ni bonge la noma mpaka kunakucha.Team imekamilika naona aliepungua hapo ni Nyau tu.
wakati ndio huu kaka,kesho kesho kila siku kesho kiama,tumia nguvu zako ukiwa bado kijana.Huyu ndio anaijua ntota ya kijani
Mkuu Nyau yupo chini ya mto karibu ya kichwa cha mtoto muangalie vizuri utamuona hapo.
Usiku kunakuwa na shughuli pevu kwa kweli wanga wanataka wamtumie nyau kwenye mambo yao ya kishirikina mbwa anawazuia wachawi basi ni bonge la noma mpaka kunakucha.
Nalog off
kunakuwa hakulaliki sasa.Iko poa hii
huyu kuku ndio saa yetu hachinjwi huyo,bora nikakununulie mbuzi tu,karibu sana kijengoni.Washawasha hongera sana kwa vile upo happy hayo mengine mambo ya kupita tu....ila kuku wako kanona naja mgeni wako inichinjie huyo lol